Na Abdulaziz Video, Lindi
Tamasha kubwa la kuchangia watoto yatima wa mkoa wa lindi kufanyika leo saa 8 mchana hadi 5 usiku katika uwanja wa ilulu likitumbuizwa na msanii maarufu,Tanzania na Afrika Diamond Platinum Chini ya udhamini wa Mhe. Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Mtama, Lindi, kwa kushirikiana Uratibu na Abdulaziz video Recording(lindi yetu blog)
Kiingilio Ni Tsh 5000 kwa kila mmoja.Usikose nafasi hii Adimu...
Tarehe 31 mkesha wa mwaka mpya atakuwa Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda kwa Udhamini Wa NAF BEACH Hotel na Makonde Pure Drinking Water.
Pichani Diamond akiwa Mtwara na Shahid Murji baada ya Mapokezi Airport Mtwara

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...