Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. The mdudu,hongera sn mama na penda pia unavyo bonga vizuri SWAHILI

    ReplyDelete
  2. Hongera Asha Rose Migiro!
    Tegemeo pekee kwa WATANZANIA !
    Mkarimu na mwenye Upendo kwa watu!

    ReplyDelete
  3. Emanuel P. M.December 03, 2013

    Sijui kwa nini huwa kila nikimtazama Mama Migiro huwa naona maandishi makubwa " VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 2015 - 2025 " Mungu amjalie

    ReplyDelete
  4. Why Vice President na sio Rais kabisa. Hata hivyo naamini popote pale hata ukuu wa wilaya mama huyu anaweza yeye habagui kazi wala ngazi! Shukran JK na Kidumu CCM. Akinana Mama oyee!!

    ReplyDelete
  5. Mh Vice President wa Tanzania hatokagi Zenji??????Ila sijui siasa. Mdau wa tatu.

    ReplyDelete
  6. Na Mh.E.N.Lowassa unamweka baadhi gani?:kama si yeye tu ndiye tegemeo la wananchi,atakaeshika usukani wa uongozi wa taifa letu ili 'chombo kisiende' mrama tokea mwaka 2015? Ni kweli,mama A.R.Migilo bora awe muhimili nyuma ya jabali hilo. Vinginevyo nchi itaenda kwa CHADEMA.Hapo ndipo CCM hakitayumba asilani.

    ReplyDelete
  7. DOC unaongea KISWAHILI vizuri sana.Hongera sana DOC kwa uteuzi wako.Wadau mnaoongelea mambo ya kutoka ZENJ/BARA, sijui nini-"be quiet"!!

    David V

    ReplyDelete
  8. Natamani apewe uwaziri katika wizara inayohitaji upeo kama wake ili atumie uzoefu wake wa kuwa serikalini na katika Umoja wa Mataifa kuleta mabadiliko katika utendaji kazi nchini. Ni mama anayeweza kutoa mchango mkubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...