Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi hawa wafanyakazi wanajua wanaomba nini? Ati ichukuliwe na watu wa nje? kama ni kubinafsisha si tununue hisa sisi watu wa kawaida, tuchague management, lisiwe Shirika la Umma bali lenye wenye hisa wanaoweza kupata wawekezaji kama mtaji wao hautoshi.

    ReplyDelete
  2. Elimu kaka.....kusoma mali bwana..ombi hili linasadifu elimu na uelewa wa wahusika......mtu makini huwezi omba balaa hata siku moja....ninashaka na uelewa wa wahusika kuhusu suala zima la ubinafsishaji.........ktk lisala yao wamebainisha tatizo ni uongozi sasa kuna haja gani ya kubinafsisha....Taabu kweli kweli.

    ReplyDelete
  3. Jamaa wanaona mbali ukiweka management ya kwetu ni rahisi kuwa inaendeshwa na wanasiasa na mwisho wa siku kifo cha mende. Wadau niambieni shirika kama hilo linaloendeshwa na umma au wazawa ili nami nifikirie kuunga hoja ya kuwakataa wachina: ATCL,PRECISION,RAHCO,KAUDO,RETCO,CORECTCO,MORECTO,KAURU,SCANDANAVIA,........semeni basi nisikie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...