Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate  kwa waumini wa Kanisa la Anglikana  baada ya kupewa Daraja la Ukasisi   katika Kanisa la Anglikana lililopo  Mkunazini mjini Zanziabar jana,pamoja na mambo mengine Jaji Augustino amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar na Tanzania, Brigedia Jenerali wa JWTZ pia amewahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mahakama ya Afrika Mashariki. Picha na Sahim Shao 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Baba ake alikuwa askofu mkuu wa kanisa la Anglican ( christopher Ramadhani )judge mkuu ni padre pale st Alban mjini

    ReplyDelete
  2. Anapiga kinanda huyoo.

    ReplyDelete
  3. Anahubiri vizuri sana na gwiji wa kupiga kinanda. Mungu ambariki sana kwenye kazi yake hii mpya ya kumtumikia Mungu

    ReplyDelete
  4. Hongera, prefekti mwenzangu hapo Biscoe House, Tabora Boys Secondary School!

    Ulikuwa ni mwanaspoti mahiri wa basketball na kipa wa timu zetu.

    Ongoza hao the faithful, kama ulivyojifunza toka zamani!

    Born Again Pagan

    ReplyDelete
  5. Kamanda na Jaji huyu namkubali sana. Sasa ni Padri! Acha upigaji kinanda na kipaji cha kujenga hoja. Vipaji anavyo na anavitumia vizuri sana. Mungu ambariki mtumishi wake huyu.

    ReplyDelete
  6. aliyekuwa askofu ni baba ake mdogo anaitwa john ramadhani na sio christopher

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...