Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate kwa waumini wa Kanisa la Anglikana baada ya kupewa Daraja la Ukasisi katika Kanisa la Anglikana lililopo Mkunazini mjini Zanziabar jana,pamoja na mambo mengine Jaji Augustino amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar na Tanzania, Brigedia Jenerali wa JWTZ pia amewahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mahakama ya Afrika Mashariki. Picha na Sahim Shao
Home
Unlabelled
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani ametawazwa kuwa Mchungaji wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Baba ake alikuwa askofu mkuu wa kanisa la Anglican ( christopher Ramadhani )judge mkuu ni padre pale st Alban mjini
ReplyDeleteAnapiga kinanda huyoo.
ReplyDeleteAnahubiri vizuri sana na gwiji wa kupiga kinanda. Mungu ambariki sana kwenye kazi yake hii mpya ya kumtumikia Mungu
ReplyDeleteHongera, prefekti mwenzangu hapo Biscoe House, Tabora Boys Secondary School!
ReplyDeleteUlikuwa ni mwanaspoti mahiri wa basketball na kipa wa timu zetu.
Ongoza hao the faithful, kama ulivyojifunza toka zamani!
Born Again Pagan
Kamanda na Jaji huyu namkubali sana. Sasa ni Padri! Acha upigaji kinanda na kipaji cha kujenga hoja. Vipaji anavyo na anavitumia vizuri sana. Mungu ambariki mtumishi wake huyu.
ReplyDeletealiyekuwa askofu ni baba ake mdogo anaitwa john ramadhani na sio christopher
ReplyDelete