Rais Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika. Akizungumza katika mkutano huo Rais Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za Afrika
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa,Rais Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za kiafrika. Picha na mdau Freddy Maro wa IKULU
Njia mojawapo ya wao Ulaya kijinusuru na Mtikisiko wa Kiuhcumi 'Euro Financial Crisis' ni kuwekeza Afrika ambako Uwekezaji unalipa na ambako kuna ukuzaji mkubwa kuliko sehemu ingine Duniani!
ReplyDeleteMambo huenda kwa mabadiliko na sasa ni wakati wa Afrika:
1.Ukuzaji wa Kiuchumi Duniani (Rate of GDP Growth):
-Asian Tigers, Nchi za Singapore, Malaysia, Indonesia, India, Thailand na Brunei wana kasi ya GDP (UKuzaji Kiuchumi kwa mwaka) kiwango cha 11%+
-Afrika ya Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara Nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia, Senegal, Ghana na Nigeria zina Kasi ya Ukuzaji kwa mwaka (GDP Growth rate) ya 6.9%+
-Ulaya inaongoza Ujerumani kwa 2.6%
, huku Italia imeshuka kwa kiwango hasi cha (-1.9%)
-Marekani wapo kati ya o.5% na 2.0%
2.Viwango vya Riba (Bank rates):
Ndio kigezo cha malipo kwa wawekezaji wa Mitaji sambamba na Rate of GDP Growth hapo juu No1. hivyo Mazingira yanawahitaji Ulaya kuwaalika kuwekeza Mashariki ya Mbali (ASIAN TIGERS) na Afrika chini ya Jangwa la Sahara (EMERGIN SUB SAHARAN COUNTRIES)!!!