WABUNGE WA KAMATI YA MAHESABU YA SERIKALI (PAC) WALIOKO ZIARANI UK, LEO HII WAMETEMBELEA OFISI ZA SERENGETI UK NA KUJIONEA JINSI BOKSI LINYAVYOPIGWA.
WABUNGE HAO WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO MHESHIMIWA DEO FILIKUNJOMBE WALIJIONEA WENYEWE JINSI VIJANA WA KITANZANIA WAISHIO UK WANAVYOFANYA UKAGUZI WA MAGARI YAENDAYO AFRICA MASHARIKI NA PIA HUDUMA ZA USAFIRISHAJI WA MIZIGO.
WABUNGE WALIFURAHI SANA KUONA JINSI WATANZANIA WAISHIO NJE (DIASPORA WANAVYOJISHUGHULISHA NA KUJITENGENEZEA AJIRA WENYEWE. WABUNGE WALIWASHAURI WATANZANIA HAO KUHAKIKISHA HAWASAHAU NYUMBANI KWA KUJITAHIDI KUWEKEZA ZAIDI NYUMBANI.
WABUNGE WA KAMATI YA MAHESABU YA SERIKALI (PAC) WALIOKO ZIARANI UK WAKIANGALIA SEHEMU ZA KAZI
WABUNGE WA KAMATI YA MAHESABU YA SERIKALI (PAC) WALIOKO ZIARANI UK WAKIENDELEA KUTEMBEZWA SERENGETI
WABUNGE WA KAMATI YA MAHESABU YA SERIKALI (PAC) WALIOKO ZIARANI UK KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZEE WA KAZI
WABUNGE WA KAMATI YA MAHESABU YA SERIKALI (PAC) WALIOKO ZIARANI UK WAKISHUHUDIA UKAGUZI WA MAGARI
WAZEE WA KAZI WAKIWA NA MHESHIMIWA DEO FILIKUNJOMBE
hiii serikali yetu inataka sie watu wa jee tuwekeze kwetuuu lakini huku wakii tuumiza kwa kulipa ushuru mara mbili tukilipa zanzibar tulipee tena Daresalaam wakatii nchiii ni moja Tanzania.
ReplyDeleteje ukishuha tanga unalipa ushuru tena daresalaam ulipi so sembuse zanzibar