MAREHEMU SAID ALLY
MUYONGO ABAD
Kweli
maisha ni safari ndefu, hatimay leo umefikisha miaka ishirini na tano (25) tangu ulipotangulia mbele za haki mnamo
tarehe 04/12/1988.
Ni Siku isiyoweza kusahaulika maishani mwangu. Upendo,
Hekima, Busara, Ucheshi na Ukarimu ni uridhi pekee ulioniachia . Pumzika kwa
amani baba yangu mpendwa.
Mjukuu
wako William Stephen III anakuombea daima. Kila nikimwangalia anavyokuwa na
kuchukua sura yako napata faraja ya kwamba sikuachwa peke yangu.
Unakumbukwa
daima na ndugu zako wa Vanga, Mombasa, Moa, Nairobi, DSM, Arusha, mkwe wako na
marafiki zako wote popote walipo.
WABILAH
TAWFIQ. INNA LILLAH WAINNA ILYH RAIUN.
AMEN
Ni Mimi mwanao Mpendwa Beatrice Muyongo Abad
na Mjukuu wako William Steve III
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...