Meneja Masoko wa Kampuni ya Konyagi, Joseph Chibehe,(Kulia) akimkabidhi akikabidhi jezi kwa Nahodha wa timu ya Mwambao,Selemani Lugono baada ya timu hiyo kuibuka washindi wapili katika ligi ya Kawambwa Cup iliyomalizika hivi karibuni Mjini Bagamoyo.Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mbunge wa jimbo hilo,Dkt. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT,Kanali Mstaafu Iddi Kipingu.
Home
Unlabelled
MASHINDANO YA KAWAMBWA CUP YAMALIZIKA MJINI BAGAMOYO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...