Tumalizie mwaka na Boney M na THE ORIGINAL TRINIDAD STEEL BAND kwa ngoma hii kali ya 'Calender Song'. 
Kwa ngoma hii  GLOBU YA JAMII inakutakia heri na fanaka katika kuukaribisha mwaka mpya, huku tukikuahidi kuendeleza LIBENEKE kama kawaida yetu....chini ya kauli mbiu yetu mpya ya 
'ALWAYS TEN STEPS AHEAD OF THE REST'.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nilidhani hawa Boney M wanahusika sana na habari za 'Mwokozi' kutokana na vibao vyao kedekede vya X-mas. sasa mbona hapa ni kama wanafanya 'matudu'!. Wadau nisaidieni

    ReplyDelete
  2. Tukusaidie nini na wewe ebu tuliza mpira kama vp sherehekea mwaka mpya.Mambo madogo hayo hata wimbo wao unathibitisha ....kuitaja miezi yote tu kiulaini.

    ReplyDelete
  3. Mdau ni vizuri sana kuuliza. Wanamuziki wengi wa mataifa ya magharibi wamepiga miziki ya Krismas na ile ya kawaida. Nenda utube utaona Biyonce, Mariah Kerry, Jim Reeves, na wengine wengi tu wameimba nyimbo za Krismas na zile za kidunia. Wenzetu hawajajenga ukuta kati ya miziki ya ijili na ile ya kidunia. Waafrika wengi nadhani hatukuwaelewa wazungu walipotuletea Ukrustu. Ndiyo maana unaweza kuona dada wa kizungu kavaa kaputula kanisani Dar akaachwa bila kutolewa nje. Lakini dada wa kitanzania akijaribu tu, kanisani panaweza pakachimbika, atantengwa hata akifa atazikwa makaburi tofauti. Ama Rose Muhando alipochukuwa ile tuzo ya uimbaji bora toka kampuni ya bia alikuwa anazomewa, sasa akifanya mabo ya boney M itakuwaje? Ukitaka kuelewa vizuri, nenda kasali Ulaya au USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...