Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MZEE NELSON MANDELA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
R.I.P baba Madiba. Mtetezi wa haki za binadamu na mpigania uhuru wa bara la Africa.
ReplyDeleteMzee wetu Mandela upumzike kwa amani. tutaikumbuka sana sauti yako nzito na ya upole , busara zako na zaidi ya yote ujasiri uliouacha nyuma wa kuthubutu kuvumilia hadi dakika ya mwisho. yaani kutokata tamaa. miaka yako 20 jela ni fundisho tosha tuliobaki bado ukatoka na kuendelea kupambana na ulipoachia hadi kikaeleweka uhuru. Mzee pumzika Mzee.
ReplyDeleteUpumzike kwa Amani ya Bwana. Tutakukumbuka sana katika ujenzi wa Amani barani Africa.R.I.P
ReplyDeletepumzika kwa amani mzee wetu.
ReplyDeleteOhhh gone Dad!
ReplyDeleteBaada ya Mzee Madiba kuanguka huko Bondeni, Bara la Afrika linabakiwa na Wazee watatu tu (3) wanao aminika Kimsimamo wa Kisiasa tena wote wapo Kusini hao ni:
1.Mzee Sam Nujoma-NAMIBIA,
2.Mzee Joacquim Chissano-MSUMBIJI,
3.Mzee Robert Mugabe-ZIMBABWE.
RIP Mandiba
ReplyDeletePersonally I feel sad, I have this feeling that he was like someone who had done me a great favour, yet I never met him, shook his hand and thanked him.
ibrahim
Bwana Mandela anatufundisha umuhimu wa kuwa na uongozi wenye hekima na unaothamini haki za binadamu wote. Mungu amemjalia maisha miaka 95 ni ya kushukuru Mungu. Kazi ni kwa Afrika ya Kusini kuenzi mambo aliyosimamia ili wananchi wote huko waishi kwa amani
ReplyDeleteThere is so much talk of Mandela showing forgiveness and no bitterness for only the 27 years he was thrown in prison. They forget that for being in South Africa at that time, he was in a prison before he was sent to prison.
ReplyDelete"Being in south Africa at that time he was in prison before he was sent to prison". Utter nonsense, he could have chosen to live as an opressed free man, Mandela was given an ultomatum by Evelyn Mase, either her or ANC, he chose the later.
ReplyDeleteR.I.P babu yetu mandela.tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi.daima utakumbukwa ka uongozi wako mzuli usio mbagua mtu.hakika pengo lako halitazibika.pumzika kwa aman mpendwa wetu.AMEN...
ReplyDelete