Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. R.I.P baba Madiba. Mtetezi wa haki za binadamu na mpigania uhuru wa bara la Africa.

    ReplyDelete
  2. Mzee wetu Mandela upumzike kwa amani. tutaikumbuka sana sauti yako nzito na ya upole , busara zako na zaidi ya yote ujasiri uliouacha nyuma wa kuthubutu kuvumilia hadi dakika ya mwisho. yaani kutokata tamaa. miaka yako 20 jela ni fundisho tosha tuliobaki bado ukatoka na kuendelea kupambana na ulipoachia hadi kikaeleweka uhuru. Mzee pumzika Mzee.

    ReplyDelete
  3. Upumzike kwa Amani ya Bwana. Tutakukumbuka sana katika ujenzi wa Amani barani Africa.R.I.P

    ReplyDelete
  4. pumzika kwa amani mzee wetu.

    ReplyDelete
  5. Ohhh gone Dad!

    Baada ya Mzee Madiba kuanguka huko Bondeni, Bara la Afrika linabakiwa na Wazee watatu tu (3) wanao aminika Kimsimamo wa Kisiasa tena wote wapo Kusini hao ni:

    1.Mzee Sam Nujoma-NAMIBIA,
    2.Mzee Joacquim Chissano-MSUMBIJI,
    3.Mzee Robert Mugabe-ZIMBABWE.

    ReplyDelete
  6. RIP Mandiba

    Personally I feel sad, I have this feeling that he was like someone who had done me a great favour, yet I never met him, shook his hand and thanked him.
    ibrahim

    ReplyDelete
  7. Bwana Mandela anatufundisha umuhimu wa kuwa na uongozi wenye hekima na unaothamini haki za binadamu wote. Mungu amemjalia maisha miaka 95 ni ya kushukuru Mungu. Kazi ni kwa Afrika ya Kusini kuenzi mambo aliyosimamia ili wananchi wote huko waishi kwa amani

    ReplyDelete
  8. There is so much talk of Mandela showing forgiveness and no bitterness for only the 27 years he was thrown in prison. They forget that for being in South Africa at that time, he was in a prison before he was sent to prison.

    ReplyDelete
  9. "Being in south Africa at that time he was in prison before he was sent to prison". Utter nonsense, he could have chosen to live as an opressed free man, Mandela was given an ultomatum by Evelyn Mase, either her or ANC, he chose the later.

    ReplyDelete
  10. R.I.P babu yetu mandela.tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi.daima utakumbukwa ka uongozi wako mzuli usio mbagua mtu.hakika pengo lako halitazibika.pumzika kwa aman mpendwa wetu.AMEN...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...