Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.Akiwa nachini Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali.(picha na Freddy Maro).
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Rais Dkt.Jakaya Kikwete Mrisho mara baada ya kumlaki muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake nchini Marekani. Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki Moon na kufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Picha ya kwanza kutoka juu."Karibu nyumbani,mambo ndiyo hayo kama ulivyotaarifiwa na WM".Ndivyo anavyoonekana Dr.Bilal akimweleza Dr.JK(Blog ya jamii msibane comment yangu pliiz.)

    David V

    ReplyDelete
  2. Tunahitaji samari ya mazungumzo na un sec. Muhimu kujua!

    ReplyDelete
  3. Tunasubiri kimbuga kinachokuja, ni balaa!

    ReplyDelete
  4. Lakini nashauri licha ya Mhe. Dr. Nchimbi kuondolewa Wizarani ile Operesheni Kimbunga ni Muhimu kuendelea!

    Kwa kuwa Tanzania ya Kikwete ni Uswisi na Majuu ya Afrika kwa sasa, Wageni Haramu wengi sana hapa nchini!!!

    ReplyDelete
  5. your welcome sir. mdau CM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...