Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York
Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki
Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika
ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali.(picha na Freddy Maro).
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akizungumza na Rais Dkt.Jakaya Kikwete Mrisho mara baada ya kumlaki muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York
Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake nchini
Marekani. Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki
Moon na kufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika
ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali
Picha ya kwanza kutoka juu."Karibu nyumbani,mambo ndiyo hayo kama ulivyotaarifiwa na WM".Ndivyo anavyoonekana Dr.Bilal akimweleza Dr.JK(Blog ya jamii msibane comment yangu pliiz.)
ReplyDeleteDavid V
Tunahitaji samari ya mazungumzo na un sec. Muhimu kujua!
ReplyDeleteTunasubiri kimbuga kinachokuja, ni balaa!
ReplyDeleteLakini nashauri licha ya Mhe. Dr. Nchimbi kuondolewa Wizarani ile Operesheni Kimbunga ni Muhimu kuendelea!
ReplyDeleteKwa kuwa Tanzania ya Kikwete ni Uswisi na Majuu ya Afrika kwa sasa, Wageni Haramu wengi sana hapa nchini!!!
your welcome sir. mdau CM
ReplyDelete