Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Loud and Clear.Asante sana TPDC,kazi kwenu sasa wapenzi wa Vitalu vya gesi/mafuta.Tunategemea haki itatendeka

    David V

    ReplyDelete
  2. Hii ni sanaa tu. Unafikiri TPDC wana nia ya kweli - ni kuonyesha umma tu kwamba nao wametangaza hii zabuni. Huu ni usanii tu.

    ReplyDelete
  3. Kwa nini dola ya kimarekani utumike badala ya shilllingi?

    ReplyDelete
  4. Kazi kwetu sasa,

    Sekta ya Uchumi wa Mafuta na Gesi hiyooo Fursa zinamwagika.

    Habari ndiyo hiyo kila kitu hadharani!!!

    ReplyDelete
  5. Gavana wa BoT Prof.Ndulu upo?

    Mdau wa Tatu Hilo ni Neno la muhimu sana!

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, Kifedha lina madhara makubwa sana kwa kuwa linauwa Thamani ya Shilingi na kudorora kwa Mzunguko wa Fedha za kawaida.

    Hii inaitwa 'DOLARIZATION OF ECONOMY' ambapo kwa nchi zenye Msimamo Mkali kama Rwanda hili ni Kosa la Jinai ama Uhujumu Uchumi na Vifungo hutolewa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...