Home
Unlabelled
Taarifa rasmi ya UDSM kuhusu kusimamishwa uongozi kwa Dkt. Kitila Mkumbo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania tuna kazi kwelikweli....yaani ndio nini hasa?ivi bado tu mnashikiria sheria za ajabu ajabu hali ya kua tunafahamika kama bado tupo gizani....kuna athari gani iliyopatikana kiutendaji kipindi ambacho hamkundua haya...iwapo hakukua na athari yoyote hii inamaanisha na ni uthibitisho tosha kwamba sheria za namna hii hazina tija yoyote kwa taifa.Wacheni mtu alitumikie taifa...
ReplyDeleteBahati mbaya yupo Chadema angekuwa CCM yasingetokea haya kwani wapo wengi wanaofahamika kuwa ni viongozi na wananyadhifa CCM.
ReplyDeleteSiasa zinapokuwa msingi wa uongozi ktk vyuo vyetu tunategemea elimu ya namna gani? Sheria hii kwa tafsiri halisi ni kwamba mfanyakazi wa umma haruhusiwi kujiunga na upinzani maana kwa CCM wapo wengi sana na tumewaona wakijitokeza kugombea wakati wa uchaguzi.
ReplyDelete...wadau juu naona mmeshaongelea wazo kuu
ReplyDeletewazo lingine...hivi kwa nini sehemu zetu za kazi hasa serikalini hazina utaratibu maalum unaoeleweka wa kazi hasa haya maswala ya nidhamu?....kila kitu ni kuunda tume na kamati!
KWAKWELI MIMI NAMUUNGA MKONO MKUMBO WACHILIA MBALI MASUALA YA SHERIA, KWANZA HII YOTE NI KATIKA KUTAFUTA MASLAHI NA UGALI WA WATOTO, KWANI MISHAHARA YA HAPO CHUO NI MIDOGO NA HAITOKI KWA WAKATI, UMEONA WAPI WATU MWISHO WA MWEZI WATO NI TAREHE 35 AU 40 KAMA IPO KATIKA DUNIA HII. HERI YEYE ALIYEJISHUGHULISHA HIVYO ILI AJIPATIE WALAU KIPATO NA HUKO PIA KULIKONI KUWA MWIZI. CHUO KIKUU CHA DSM MNABOA KATIKA UTOAJI WA MISHAHARA NA MNAHATARISHA NDOA ZA WATU KWANI WATU HATUELEWANI MAJUMBANI KWASABABU YA MISHAHARA NA WENGI KUTEMBEA NA WATU OVYO NA MADENI LUKUKI. MYAZINGATIE HAYA.LA SIVYO LAZIMA WATU WATAFUTE NAMNA YA KUISHI HAPA MJINI HATA KWA KUSEMA UONGO AU KUJIINGIZA KWENYE MASUALA KAMA HAYA INGAWA SHERIA INAKATAZA KAMA MLIVYOBAINISHA.
ReplyDelete