Kadamnasi ikifurahia hotuba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kukabidhi Rasimu ya pili ya Katiba mpya kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Rais wa Zanzibar katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu wakati wa kupiga picha za kumbukumbu ya tukio hilo la kihistoria. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Kwa Taswira zaidi BOFYA HAPA
Kwa Taswira zaidi BOFYA HAPA
The mdudu, haya akina Tundu lisu uwanja uko wazi sasa kwa Tanganyika yetu jipangeni vizuri sn ili mtutungie Katiba nzuri kabisa ya Tanganyika yetu,,au sio mbaya hata tukibadilisha jina jipya la nchi yetu kama vile KILIMANJARO au SERENGETI au nyie mnaonaje wadau maana huu ndio wakati wa kutoka kwa kasi Kitaifa na Kimataifa na hilo jiji la dar tulipige nyundo na tujenge jiji la kisasa lisilo na mfano kwa Afrika nzima.
ReplyDelete