Pichani ni ndege ambayo haiendeshwi na binadamu maarufu kama Drones 
(Unmanned aerial Vehicles) ambayo ni kati ya mbili zilizozinduliwa rasmi siku ya jumanne tayari kwa matumizi ya shughuli za ulinzi katika eneo la Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mkuu wa Idara ya Operesheni ya Ulinzi wa Amani ya Umoja wa Mataifa ( DPKO) Bw. Herve Ladsous (katikati) akipewa maelezo kuhusiana na kifaa hicho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Kiama kimewadia Eneo la Maziwa Makuu na Mashariki ya Congo-DRC!

    Ni vile hakuna tena uwezekano wa wizi wa madini hata jiwe moja ukiokota umeonekana ktk Komputa UN Makao Makuu!!!

    ReplyDelete
  2. Enheeee yametimia Mwaka wa njaa umeingia Mashariki ya Congo!

    Mabosi wa Vita nendeni mkatafute mashamba mkalime maana mavuno ya Madini na Ujambazi wa Vita ni ajira zilizobaki kuwa Historia!!!

    ReplyDelete
  3. Kigali na Kampala Habari ndiyo hiyo!

    Miaka ya mavuno imekwisha mtumie akili kujenga Uchumi wa kihalali na sio Uchumi wa Kivita wa Wizi wa Madini ya Kongo!

    ReplyDelete
  4. Ujio wa DRONES Mashariki ya Kongo.

    Hiyo ni Salamu kutoka kwa Ban Ki Moon kwenda Rwanda na Uganda!

    ReplyDelete
  5. Ama kweli za Mwizi ni 40!

    Mmemwibia madini Joseph Kabila weee miaka nenda na miaka rudi kwa miongo kadhaa huku mkiendesha vita ktk nchi yake na kumpa Presha ya maisha akiwa Ikulu Kinshasa.

    Joseph Kabila Amelia sana na mwenyezi Mungu na sasa anajibiwa kuwa ujio wa Mpango wa Drones Mashariki ya Congo-DRC !!!

    ReplyDelete
  6. Assalama Lekko zako Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon!

    Kwa kuleta Drones Mshariki ya Congo-DRC, umewashika pabaya Kigali na Kampala!!!

    ReplyDelete
  7. Assalama Lekko zako Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon!

    Kwa kuleta Drones Mshariki ya Congo-DRC, umewashika pabaya Kigali na Kampala!!!

    ReplyDelete
  8. Assalama Lekko zako Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon!

    Kwa kuleta Drones Mshariki ya Congo-DRC, umewashika pabaya Kigali na Kampala!!!

    ReplyDelete
  9. Assalama Lekko zako Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon!

    Kwa kuleta Drones Mshariki ya Congo-DRC, umewashika pabaya Kigali na Kampala!!!

    ReplyDelete
  10. Assalama Lekko zako Katibu Mkuu wa UN Ban Ki Moon!

    Kwa kuleta Drones Mshariki ya Congo-DRC, umewashika pabaya Kigali na Kampala!!!

    ReplyDelete
  11. Waasi mwaka wa njaa uewadia nendeni Makalime!

    Mtakacho kifanya Msituni Ban Ki Moon anawaona kwa njia ya hizo DRONES akiwa Ofisini kwake New York-Marekani Makao Makuu na vijana wake wanaweza kufyatua vitufe wakiwa Marekani kuwapiga Msituni Kongo!

    ReplyDelete
  12. Kila kitu kina mwisho wake!

    Majirani wa Congo-DRC wamenufaika na Madini weee huku wakiendesha vita Misituni na sasa mwisho ndio huu Drones za UN zimeingia!

    ReplyDelete
  13. Ujio wa Drones za UN kule Mashariki ya Congo-DRC ni kuwa Rwanda na Uganda na sasa mtajifunza UCHUMI WA KUJITEGEMA KAMA TANZANIA ILIVYO ENDESHA SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA !!!

    ReplyDelete
  14. Ujio wa Drones za UN kule Mashariki ya Congo-DRC ni kuwa Rwanda na Uganda na sasa mtajifunza UCHUMI WA KUJITEGEMA KAMA TANZANIA ILIVYO ENDESHA SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA !!!

    ReplyDelete
  15. Ati nini?, Drones Mashariki ya Kongo?

    Jeuri ya PK na M-7 kwisha!

    ReplyDelete
  16. Jamini nimesoma hizi comments mbavu sina. Hapa ni burudani tupu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...