Home
Unlabelled
VIDEO MPYA: ZAHARA - DJOBAN DJO COMORIEN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
same old same! anything new?
ReplyDeletepossible issues to sing about
corruption, drug problems, unemployment, human rights, in humane treatment of women and children and vitambi kwa wanasiasa.
Does it have to be about women/girls love and sex?
Wewe #01 nakubaliana na wewe ila sisi wenyewe sokoni ndiyo tunapenda hizo nyimbo(Jiulize ni kwanini?)Wakipiga nyimbo ulizozitaja wanadai "haziuziki'(Zipo ila si nyingi).Ni tatizo kubwa kweli kweli katika jamii.
ReplyDeleteMsanii anaweza kutoa kibao cha mapenzi lakini kikawa na ujumbe mzuri tu.Mfano kuna kijana anaitwa SHETA FT RICH MAVOKO ametoa single inaitwa Sina Raha/Sina Imani(usilete Ukimwi nyumbani).Msanii anaongelea ugonjwa wa hatari UKIMWI.Wimbo mzuri,ujumbe mzuri.Ni ubunifu tu
David V