Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom-Tanzania Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Kulia), akimkabidhi kofia ngumu, mmoja kati ya washindi wanane wa promosheni inayoendeshwa na kampuni hiyo ya simu"Timka na Bodaboda", Asha Yohana, mkazi wa Dodoma, katika hafla ya kukabidhi pikipiki "Bodaboda" kwa washindi wanane wa mkoani humo.
Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi za pikipiki, washindi wanane wa promosheni ya "Timka na Bodaboda" inayoendeshwa na kampuni hiyo ya simu. Hafla hiyo ilifanyika jana mjini Dodoma.
Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Wapili kulia), akiwa ameshikana mikono na washindi wa promosheni ya "Timka na Bodaboda" mara baada ya kuwakabidhi pikipiki wakazi wanane wa mkoani Dodoma.
Washindi wanane wa promosheni ya "Timka na Boda boda", mkoani Dodoma, wakiwa kwenye pikipiki zao "Bodaboda" mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom-Tanzania Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...