JUMAMOSI 30/11/2013 KULIKUWA NA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA KUMSAIDIA MTOTO WA AFRICA. HARAMBEE HIYO ILIFANYIKA KWENYE HOTEL YA LANCASTER JIJINI LONDON, UINGEREZA. SHUGHULI HIYO ILIANDALIWA NA WAKE WA MABALOZI WOTE WA AFRICA  WALIOKO UINGEREZA NA KUHUDHURIWA NA WAHESHIMIWA MABALOZI NA WAFANYABIASHARA MBALI MBALI WA KIAFRIKA AMBAPO WAZEE WA KAZI SERENGETI FREIGHT NAO WALIALIKWA KUHUDHURIA NA KUTOA MCHANGO WAO MKUBWA TU. NA SI HIVYO TU BALI PIA WAZEE WA KAZI WALIACHANA NA MA-JEANS YAO NA KUVUNJA KABATI NA KUULAMBA KISAWASAWA. 

CHRIS LUKOSI AND SIMON LOUIS DIRECTORS OF 
SERENGETI FREIGHT WITH H.E WAWERU NGARE.jpg

CHRIS LUKOSI WITH H.E EPHRAIM WAWERU NGARE.
DIRECTORS OF SERENGETI WITH H.E PETER KALLAGHE 
TANZANIA HIGH COMMISSIONER TO THE UK
WAZEE WA KAZI WITH  MAMA BALOZI NA MHESHIMIWA BALOZI
SHUGHULI IKIENDELEA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Updates please,how much was raised?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...