JUMAMOSI 30/11/2013 KULIKUWA NA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA KUMSAIDIA MTOTO WA AFRICA. HARAMBEE HIYO ILIFANYIKA KWENYE HOTEL YA LANCASTER JIJINI LONDON, UINGEREZA.
SHUGHULI HIYO ILIANDALIWA NA WAKE WA MABALOZI WOTE WA AFRICA WALIOKO UINGEREZA NA KUHUDHURIWA NA WAHESHIMIWA MABALOZI NA WAFANYABIASHARA MBALI MBALI WA KIAFRIKA AMBAPO WAZEE WA KAZI SERENGETI FREIGHT NAO WALIALIKWA KUHUDHURIA NA KUTOA MCHANGO WAO MKUBWA TU. NA SI HIVYO TU BALI PIA WAZEE WA KAZI WALIACHANA NA MA-JEANS YAO NA KUVUNJA KABATI NA KUULAMBA KISAWASAWA.
CHRIS LUKOSI AND SIMON LOUIS DIRECTORS OF
SERENGETI FREIGHT WITH H.E WAWERU NGARE.jpg
SERENGETI FREIGHT WITH H.E WAWERU NGARE.jpg
CHRIS LUKOSI WITH H.E EPHRAIM WAWERU NGARE.
DIRECTORS OF SERENGETI WITH H.E PETER KALLAGHE
TANZANIA HIGH COMMISSIONER TO THE UK
TANZANIA HIGH COMMISSIONER TO THE UK
WAZEE WA KAZI WITH MAMA BALOZI NA MHESHIMIWA BALOZI
SHUGHULI IKIENDELEA
Updates please,how much was raised?
ReplyDelete