Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa Kaisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha Desemba 30,2013. (Picha na OWM)
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa ni mmoja wa waliohudhuria Ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu la Katoliki jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha Desemba 30,2013.Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Magese Mulongo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...