Home
Unlabelled
yale yaleeeeee....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hapo ni nani mwenye kosa? Hivi kila kitu ni lazima viboko?
ReplyDeleteNYUMA YA LORI HILO LIMEANDIKWA (RISPECT elimu mbovu) RESPECT YAANI HESHIMU, SASA INABIDI SISI TUHESHIMU MAAMUZI YAKE!
ReplyDeleteKwa mdau wa kwanza, Tanroad hayupo kila sehemu, ni wajibu wa wananchi mlioliona hili kulisimamia na kumfikisha mmiliki/dereva sehemu husika ili sheria ifatwe. hilo dataja linawasaidia wananchi wa huko na si tanroad kama unavyofikiri, serikali ni mimi na wewe, tanzania ni jina tu.
ReplyDeleteDereva atozwe zinga la fine au anyanganywe kabisa leseni, aah! kumbe nimesahau leseni anaweza pata mpya ndani ya wiki moja kupitia mlango wa nyuma, na fine inaweza kuwa 25,000 tu!!!
ReplyDeleteBila kuchukua hatua kali uzembe na uharibifu barabarani vikiambatana na ajali havita kwisha.
watumiaji wa daraja hilo mlitakiwa mumdhibiti huyo dereva, na siyo kuuliza Tanroads wako wapi.
ReplyDeleteYaani huyu dereva ni tahira,natamani daraja livunjike na lori lake kuzama majini kutambua ujinga alioufanya
ReplyDeleteTanirod wafanye nini wakati hao jamaa wakipigwa faini wanagoma na kufunga mabarabara? Ngoja liharibike ndio akili itakuja.
ReplyDelete