Nyumba hii ipo Mbezi juu njia ya kuelekea Goba,Kilometa 4 kutoka Masana Hospital eneo la Mbezi Samaki,jijini Dar es Salaam.

Eneo lina SQM 1000 na Nyuma ina Vyumba vitatu vya kulala vyote ni self,Chumba cha kujisomea,Jiko,Stoo,Dinning pamoja na Sebule.

Bei ni sh. Milion 200 na hati ipo kwenye taratibu ya kupatikana.

KWA MAWASILIANO
0718 687 575
0786 444 000

 Sehemu ya nje ya nyumba hiyo
 geti na fensi ya kisasa
 sehemu ya ndani ya nyumba hiyo
Sehemu ya maegezo ya magari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Unauza nyumba isiyo na hati?!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi nyumba zote zinazouzwa zina hati????? Nadhani swala ni kujiridhisha tu eneo ilipo kama hapana tatizo its really a good house

      Delete
  2. Nyumba ni pamoja na hati ya umiliki siyo jengo tu eti iko eneo zuri!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo wewe ukiwa hati ya kiwanja tayari unanyumba? Nyumba ni structure si hati. Hati is just a paper

      Delete
  3. Mtu anapoweka biashara yake siyo vizuri kuanza kukosoakosoa(Unamwaribia biashara yake).Biashara ina misingi yake.Mwenzio anahitaji pesa kutatulia matatizo yake au kufanyia shughuli nyingine.Kama hauna "MAWE" unaangalia tu,watu(wanaofahamu maana ya uwekezaji wa kwenye nyumba) watachukua huo mjengo kwa taarifa yako.Tena haraka sana

    ReplyDelete

  4. nyie mnao piga kelele anauza nyumba bila hati hivi mnajua bei ya nyumba ambayo tayari ina hati??? semeni hamna hela na sio kwamba anauza nyumba ambayo haian hati

    ReplyDelete
  5. nyumba kama huyo ninzuri nahvi hati ipo kwenye process mkishakubaliana nirahis kuweka jina namiliki mpya ukisubiri hati ikamilke thn wewe unataka ubadilishe iwe jina lako utabigwa tax gain ni 10% yathamani ya nyumba na eneo nafikiri sasa bora ni kipi nyumba ipo na hati unakamilisha. unaweza ukafanya iwe sehemu ya mkataba kuwa unalipa kiasi fulani chafedha kinachobaki mpaka utaratibu wahati ukamilike. kama unania ya kununua
    nyumba lakini mana wengine nikujifurahisha tuu

    ReplyDelete
  6. Nimesema nyumba ni pamoja na hati ya kiwanja sikusema nyumba ni hati, ndiyo maana muuzaji kwa kuelewa kuwa hati inaumuhimu katka ununuzi na umiliki wa nyumba anasema ''hati ipo katika taratibu za kupatikana". Ni ushauri tu kwa sasa sijui nini kinakusumbua

    ReplyDelete
  7. Kama huna HELA Nyamazaaaaaaaaaa.... Waboongo sijui mkoje, Roho mbayaaaaa tu ! Wewe kimekuuma sanakwamba anauza bila hati au ni nini? hayo si mtakubaliana wenyewe, Sasa unaponda Nini...KIMYAAAAAA Pita tuuuu

    ReplyDelete
  8. Kimfaacho mtu chake. Si lazima u comment kama huna la maana la kuandika waweza pita tu kimya kimya. Wewe una nini kitakacho kufaa siku ukiwa na shida haswaaaa!!!!!!!!!!!!!!!! Tafadhali fikiri kabla hujakurupuka kuandika nonsense.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...