Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Peter
Ngota (kushoto), akikabidhi zawadi ya mwaka mpya kwa Bi. Stella Mwambenja (kulia), afisa
toka moja ya vituo vilivyopata zawadi ya mwaka mpya, KIWOHEDE, jijini Dar es Salaam jana.
Wa pili kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu Idara ya Fedha katika kampuni hiyo, Bw. Alinanuswe
Mwakitalima.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Peter
Ngota (kushoto), akikabidhi zawadi ya mwaka mpya kwa Bi. Chantal Bwami (wa tatu kulia), afisa
toka kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Msongola jijini Dar es Salaam
jana. Wa pili kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu Idara ya Fedha katika kampuni hiyo, Bw. Alinanuswe
Mwakitalima na Bw. Deusdedti Alphonce (wa kwanza kulia), pia toka katika kituo hicho.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Peter
Ngota (kushoto), akishuhudia wakati wa kukabidhiwa zawadi za mwaka mpya kwa Bw. James
Zakaria (kulia), afisa toka kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Salvation
Army jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Kaimu Afisa Mkuu Idara ya Fedha katika kampuni
hiyo, Bw. Alinanuswe Mwakitalima.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...