Vijana wakifurahia simu zao za mkononi huko Unguja, Shamba. 
Picha na Sabry Juma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sasa wewe hoja yako iko wapi hapa? unaleta hoja anza na mawazo yako halafu ndio watu wengine wachangie, sio kuleta suali tu.

    Hata hivyo kwa nini umewabagua watoto wa vijijini tu? huko mjini watoto tele wana mobile mbona hukuuliza au ndio mentality ile ile ya kuwa mshamba na mtu wa mjini? erevuka mwenzetu wacha dharau za watu watokeako?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...