Andrew Mahaiga akiwa na rafiki yake Arther Samuel katika tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Fleva, Cpwaa akiwa ndani la tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Millard
Ayo akitangaza mshindi wa shindano la Heineken ya kwenda Amsterdam
nchini Hollanzi, kulia kwake Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Bw. Uche
Unigwe.
Wapenzi wa Heineken wakiburudika ndani ya Nyama Choma festival.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...