Mtoto Martina Chambiri akiimba wimbo wa "Tanzania nchi yangu yapendeza" kwa Kitaliani mwaka 1996 huko Italia
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mjomba sasa fanya mpango tujue huyu matilda kwa sasa yuko wapi na anafanya nini?natanguliza shukrani na kuomba globu ya jamii ifanye kazi.
ReplyDeleteNi mjomba kisiki, baba yake mdogo Kokoto toka Lindi.
Naomba kuwakilisha
Michuzi, nimefurahi sana kuweka wimbo huu. Nimefuatilia sana kujua kama alitoa CD au DVD lakini naona hawakutoa. Katika wakati huu wimbo huu ungesaidia sana kurudisha moyo wa uzalendo. Ndiyo nyimbo zingekuwa zinaimbwa na watoto mashuleni...
ReplyDeleteLet us not dwell on our differences, but cherish on our similarities, and this is one of the beautiful examples. Mtoto mpingo-mgongo na wenzake wanaimba mwimbo kuipigia debe bongoland, awesome.
ReplyDelete