Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa. |
Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro. |
Mwamuzi Hafidh Mshery akisalimia wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa Panone fc. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...