Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Kigoma Malima akifungua semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa semina ya uwekezaji ya Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam, na kuwakutanisha wadau wawekezaji katika sekta ya fedha.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
NATAMANI NA KUOMBA CRDB MKISAIDIE KIKUNDI CHA YATAKA MOYO CHA AKINA MAMA WA KIJIJI CHA KAGOMA. NI MUDA MREFU WANAJITAHIDI KUONDOKANA NA UMASKINI. WANAHITAJI SEMINA NA MITAHI. MKIWEZA WASAIDIENI. MKUU WA WILAYA WA MULEBA ANAFAHAMU HAYO YOTE.
ReplyDelete