Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga,ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa,na huchukua masaa mane kufika kwenye ufukwe huo,ambako ni mpakani mwa jirani na nchi ya Burundi.
Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua,wakati ilipoanza kunyesha mjin hapa.
Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Mwagongo mapema leo mchana mkoani Kigoma.
Sehemu ya Ziwa Tanganyika kama inavyoonekana kwa mbaali mapema leo jioni mkoani Kigoma.
PICHA NA MICHUZIJR-MICHUZI MEDIA GROUP-KIGOMA.
Samahani nikukosoe, hiyo siyo ngalawa, hiyo ni mashua.
ReplyDeleteNgalawa ni ile nyembamba inayosukumwa na mti unaoitwa upondo.
Mndhari ya Lake Tanganyika katika picha ya chini maazuri. Katika picha ya juu maji yana matope mekundu ni uchafuzi au vipi?.
ReplyDeleteNgalawa au mashua, kama hizo, ziwekewe "mabawa" (balancers).
ReplyDelete