Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kesho inatarajia kuanza kuwasajili wakazi wa Pemba baada ya kukamilisha zoezi hilo Unguja. Wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi hili wakiwa na nakala za viambatisho muhimu vinavyithibitisha uraia, umri na makazi. Zoezi linahusisha ujazaji fomu na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki. Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Ofisi ya Vuai Musa Suleima (wapili kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Pemba.
Home
Unlabelled
Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...