Dkt. Mwinyi akiweka Shada katika mnara wa Mashujaa kuashiria kuwakumbuka walindaamani waliopoteza maisha duniani kote. |
Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha Nchi zao hapa nchin nao walihudhuria maadhimisho hayo |
Waziri waulinzi Dkt. Mwinyi akiagana na mabalozi waliohudhuria maadhimisho hayo |
Dkt. Mwinyi akiagana na walinda Amani mara baada ya kumalizaka kwa sherehe hizo |
Waziri wa Ulinzi akiongea na waandishi wa habari.
Picha na Hassara Kilalika
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...