Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na:
David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...