Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi yaWaziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wasanii kutoka kikundi cha Pilipili Entertainment, Ahmed Olotu maarufu kwa jina la Chillo (katikati) na Madame Kitu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 29, 2014.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi (wapili kulia), Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (wanne kulia)na Waziri wa Uchukuzi,Dr. Harison Mwakyembe (wasita kulia) wakizungumza na Wananchi kutoka wilayani Hai ambao walikuja bungeni kuonana na Waziri Mkuu, ili kuzungumzia mgogoro wa eneo wanaloishi lililopo karibu na Uwanaj wa ndege wa KIA. Wananchi hao pamoja na Mbunge wao, Freeman Mbowe walifanya mazungumzo na Mawaziri William Lukuvi na Dr. Harrison Mwakyembe kwa niaba ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Kutoka kushoto ni Kutoka kushoto ni Greyson Mlanga, Robert Bundala,Sadiki Selemani, Omar Lubuva  na Emmanuel Simon.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) baada ya kuzungumza nao Bungeni mjini Dodoma Mei 29, 2014. Kutoka kushoto ni Omar Lubuva, Emmanuel Simon, Greyson Mlanga, Robert Bundala na Sadiki Selemani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Viongozi wa Chama cha Wasioona TAnzania (TLB) baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Mei 29, 2014. Kutoka kushoto ni Omar Lubuva, Emmanuel simon, Greyson Mlanga, Robert Bundala na Sadiki Selemani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi kutoka Aga Khan Development Network ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 200, 2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu na Ofisi Mkuu wa Masuala ya Fedha, Al- Karim Haji na Amin Kurji amabye ni Mwakilishi Mkazi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...