Private Brian Salvatory Rweyemamu

Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya kuamkia  tarehe 15 Mei,2014 katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.

Mipango ya mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika Jumamosi inafanyika. Msiba uko  nyumbani kwa Bwana Salvatory Rweyemamu Kinondoni jirani na Vijana Social Hall ama Mango Garden, jijini Dar es salaam. Ratiba ya mazishi itatolewa punde.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki walioko Dar es Salaam, Kagera, Malawi, Afrika Kusini, Uingereza na Canada.

Sisi tulimpenda, lakini Bwana kampenda zaidi.
Jina la Bwana na lihimidiwe.
Amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. RiP Brian

    ReplyDelete
  2. Ooh my god
    So sad!! Too young..RIP Brian poleni sana familia ya Salva Rweyemamu..
    Mdau wa UK

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2014

    RIP Private Brian.
    Poleni wafiwa wote, tumepoteza kamanda kama taifa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2014

    Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu amrehemu. Alikuwa bado mdogo sana lakini Mola ana mipango yake. Mungu awape nguvu na subra katika kipindi hiki wazazi na ndugu wote mliofikwa na msiba huu Amiin.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2014

    Hakika kwake sote tutarejea.RIP

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2014

    Brian, it's still hard to believe that you are no more. RIP little brother. Till we meet again.

    Bertha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...