Redio ya Clouds FM 88.5 ya Mikocheni jijini Dar es salaam leo imetoa ya mwaka wakati DJ Fetty na Dj Adam Mchomvu waliposikika wakizichapa live wakati kipindi kipo hewani. Juhudi za kuupata uongozi wa Clouds FM zinaendelea kutaka kujua mustakabali wa watangazaji hao maarufu nchini. Hebu sikiliza mambo yalivyokuwa. Bofya mshale mwekundu hapo..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2014

    Wanatafuta kiki tu hao,hawana lolote.washaona wanaanza kupigwa Bao na kina Mkude Simba.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2014

    Dooo noma la mwaka! Hakuna maelezo hapo kibarua kimeota nyasi kwa wote. Ndio zetu wabongo hatuheshimu ofisi zetu. Wakiota jua vijiweni watajifunza.

    Mghaibuni

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2014

    washachoka kazi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2014

    Full cinema na hamtupati hata! wapuuziii ninyi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2014

    hii ni kali, I hope sio kweli otherwise in haibu.. fukuza watoto hao

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2014

    Hawana adabu .wanaleta ubishoo kazini.fukuza kazi wote

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2014

    unprofessional kabisa, i think na umri pia tatizo hapo

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 02, 2014

    Kibongo bongo wata tugeuzia Topic watajidai walikua wanaigiza na kibarua kitaendelea kama kawa!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 02, 2014

    mbona maigizo live...ndio wanaita kick

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 02, 2014

    mbona mimi siipati?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 02, 2014

    ITAKUA NI TANGAZO TU LA BIASHARA NA SI UGOMVI...HUKUSIKIA NA KAMZIKI KWA CHATI KALIKUA AKIWAONGOZA.......

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 02, 2014

    Hawa washamba wanatoka Mbitimbi nini hadi leo wanapigana ? Kweli ni utoto warudi mtaani kuota jua ili wakue kiakili

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 03, 2014

    Aibu sana hii, na inaonyesha kuwa watu hawapo makini na kazi zao. Hata huyu anayeomba radhi ya anahema utafikiri nini sijui ndio ametoka kupigana? Management ya Clouds inatakiwa itolee maelezo na kuwawajibisha hawa watangazaji.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 03, 2014

    Tulie wananchi mbona mnadanganyika kirahisi hivo au ndio upenzi wa uamuzi wa haraka haraka. Embu sikilizeni vizuri tena, jamaa walikuwa wanacheza mchezo wa kuigiza tu. Ila kuna raha kusoma watu wanaopenda kutoa hukumu kwa wenzio haraka haraka.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 03, 2014

    Radio ya Wahuni

    ReplyDelete
  16. Hakuna kazi inayohitaji maadili kama utangazaji na uandishi wa habari kwa ujumla kusaga amesota miaka kukiweka hiko kituo kilipo sasa wao wanataka kukibomoa kwa sekunde

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 03, 2014


    mkude simba radio oyeeeeeee!

    clouds radio tatizo ni utoto na ujana mwingi, hata kwa clouds TV ni vituko... watangazaji wao wa news hawako presentable kwa mavazi hata kwa kuongea, venue yao ya tv news ni kameza kadogo... radioni wanchoongea wakati mwingine ni pumba na vurugu sometimes!
    narudia tena radio ya mkude simba oyeee, at least wao wanajitahidi maradufu na wako makini

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 03, 2014

    Kama haikuwa joke basi wamechemsha maana unaona faida ya kusomea taaluma na kujua maadili yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...