Redio ya Clouds FM 88.5 ya Mikocheni jijini Dar es salaam leo imetoa ya mwaka wakati DJ Fetty na Dj Adam Mchomvu waliposikika wakizichapa live wakati kipindi kipo hewani. Juhudi za kuupata uongozi wa Clouds FM zinaendelea kutaka kujua mustakabali wa watangazaji hao maarufu nchini. Hebu sikiliza mambo yalivyokuwa. Bofya mshale mwekundu hapo..
Home
Unlabelled
BREKING NYUUZZZZZ: WATANGAZAJI DJ FETTY NA ADAM MCHOMVU WA CLOUDS FM WASIKIKA WAKIZICHAPA LIVE REDIONI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wanatafuta kiki tu hao,hawana lolote.washaona wanaanza kupigwa Bao na kina Mkude Simba.
ReplyDeleteDooo noma la mwaka! Hakuna maelezo hapo kibarua kimeota nyasi kwa wote. Ndio zetu wabongo hatuheshimu ofisi zetu. Wakiota jua vijiweni watajifunza.
ReplyDeleteMghaibuni
washachoka kazi.
ReplyDeleteFull cinema na hamtupati hata! wapuuziii ninyi
ReplyDeletehii ni kali, I hope sio kweli otherwise in haibu.. fukuza watoto hao
ReplyDeleteHawana adabu .wanaleta ubishoo kazini.fukuza kazi wote
ReplyDeleteunprofessional kabisa, i think na umri pia tatizo hapo
ReplyDeleteKibongo bongo wata tugeuzia Topic watajidai walikua wanaigiza na kibarua kitaendelea kama kawa!
ReplyDeletembona maigizo live...ndio wanaita kick
ReplyDeletembona mimi siipati?
ReplyDeleteITAKUA NI TANGAZO TU LA BIASHARA NA SI UGOMVI...HUKUSIKIA NA KAMZIKI KWA CHATI KALIKUA AKIWAONGOZA.......
ReplyDeleteHawa washamba wanatoka Mbitimbi nini hadi leo wanapigana ? Kweli ni utoto warudi mtaani kuota jua ili wakue kiakili
ReplyDeleteAibu sana hii, na inaonyesha kuwa watu hawapo makini na kazi zao. Hata huyu anayeomba radhi ya anahema utafikiri nini sijui ndio ametoka kupigana? Management ya Clouds inatakiwa itolee maelezo na kuwawajibisha hawa watangazaji.
ReplyDeleteTulie wananchi mbona mnadanganyika kirahisi hivo au ndio upenzi wa uamuzi wa haraka haraka. Embu sikilizeni vizuri tena, jamaa walikuwa wanacheza mchezo wa kuigiza tu. Ila kuna raha kusoma watu wanaopenda kutoa hukumu kwa wenzio haraka haraka.
ReplyDeleteRadio ya Wahuni
ReplyDeleteHakuna kazi inayohitaji maadili kama utangazaji na uandishi wa habari kwa ujumla kusaga amesota miaka kukiweka hiko kituo kilipo sasa wao wanataka kukibomoa kwa sekunde
ReplyDelete
ReplyDeletemkude simba radio oyeeeeeee!
clouds radio tatizo ni utoto na ujana mwingi, hata kwa clouds TV ni vituko... watangazaji wao wa news hawako presentable kwa mavazi hata kwa kuongea, venue yao ya tv news ni kameza kadogo... radioni wanchoongea wakati mwingine ni pumba na vurugu sometimes!
narudia tena radio ya mkude simba oyeee, at least wao wanajitahidi maradufu na wako makini
Kama haikuwa joke basi wamechemsha maana unaona faida ya kusomea taaluma na kujua maadili yake
ReplyDelete