Leo tarehe 19 mwezi wa saba ni siku ya kuzaliwa mdau Krantz Mwantepele mwanzilishi na mkurungezi wa ufundi mwanaharakati mzalendo media ambao ni wamiliki wa blog tatu mwanaharakati mzalendo blog, harakati180 na 255 trending news pia ni Mkurungezi wa masoko wa KAJO ITECH kampuni ya kizalendo inayohusika na it ,printing na event management
Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana nao kila siku katika ujenzi wa ktaifa katika kuhabarishana na pia kutoa elimu kupitia mitandao ya kijami
Napenda kuwakaribisha kuendelea mitandao yetu
Mwanahakati mzalendo blog link www.mwanaharakatimzalendo. blogspot.com
Harakati180 link www.harakati180.blogspot.com
255 trending news .link www.mzalendo89.blogspot.com
Na website www.chochote.co.tz
ASANTENI SANA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...