Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller
akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za
(MKOBA) wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya
ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha C B E jijini Dar es Salaam.Pichani kulia ni Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara
Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.Mafunzo hayo yalitolewa na CBE kwa watoa huduma za Afya 72 kutoka Mikoa mbalimbali nchini.
Mhadhiri Msaidizi ICT, Ogakhan Nyamu akisisitiza jambo wa
hafla hiyo.
Watumishi huduma za (MKOBA) na uzazi wa mpango kutoka
Mikoa mbalimbali nchini Tanzania walioitimu mafunzo ya IT wakimsikiliza Mkurugenzi
Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller, wakati akifunga mafunzo hayo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...