Leo tarehe 24 mwezi wa tisa ni siku ya kuzaliwa kwa mpiganaji mwanalibeneke na mdau Faustine Ruta wa bukobasports.com.
"Namushukuru Mungu kwa Zawadi ya Uhai, afya njema na kunijalia Mpaka sasa hapa nilipo.Napenda kuwashuku sana wadau wangu wote tunaoshirikiana kila siku katika ujenzi wa Taifa katika kuhabarisha.
Pia natoa shukrani kubwa kwa wadau, Wanalibeneke wenzangu ndugu na marafiki wanao endelea kuniunga mkono."
Asanteni sana !
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...