NYOTA wa miondoko ya taarab, Isha Mashauzi amekuja kivingine
ambapo ameachia rhumba kali la miondoko ya muziki wa dansi.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Nimlaumu Nani”.
Ni wimbo wa dakika tano uliorekodiwa katika studio ya Soft Records
chini ya producer Pitchou Meshaa. Sauti zote utakazozisikia katika
wimbo huu, zimewekwa na Isha Mashauzi mwenyenye – ameimba
peke yake mwanzo mwisho.
Home
Unlabelled
SIKILIZA RHUMBA JIPYA LA ISHA MASHAUZI A.K.A JIKE LA SIMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huu ndiyo muziki si huu upuuzi wa fleva kisha mtu anajiita mwanamuziki. Isha una kipaji mdogo wangu, I love this beat more than taarab japo nakukubali hata huko pia ila hapa umeua na kudhihirisha kipaji chako.
ReplyDeleteHili rhumba ni la kipekee. Hongera sana Isha Mashauzi.
ReplyDelete