Umati wa
wananchi wa Mafia wakimsikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia. Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia
wakazi wa wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano
badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye uwanja wa Mkunguni stendi ya Mabasi mjini Mafia. Naibu Waziri Nishati Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia Mafia ndio wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...