Mpendwa baba Alex Safi Maridadi, ingawa umetutoka kimwili miaka 26 iliyopita, tunasheherekea zawadi ya maisha Mungu aliyokujalia na uwepo wako katika maisha yetu. Tunakumbuka upendo, ukarimu na uongozi wako katika familia. Unakumbukwa na mke wako mpendwa Therese Maridadi, watoto wako, wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.

Bwana akupatie pumziko la milele, na mwanga wa milele akuangazie, upumzike kwa amani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP baba uendelee kumpumzika kwa amani. Kiroho bado upo nasisi. Amen

    Peter -UK

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baba sio rahisi kuamini ni miaka 26 haupo nasi - tunamshukuru Mungu kwa kutupigania kila siku - RIP -:Amen

      Delete
  2. Baba it doesn't pass a day that we dont remember you... We know that as Christians there is life after death and one day we will meet you... RIP dad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...