Mpendwa baba Alex Safi Maridadi, ingawa umetutoka kimwili miaka 26 iliyopita, tunasheherekea zawadi ya maisha Mungu aliyokujalia na uwepo wako katika maisha yetu. Tunakumbuka upendo, ukarimu na uongozi wako katika familia. Unakumbukwa na mke wako mpendwa Therese Maridadi, watoto wako, wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.
Bwana akupatie pumziko la milele, na mwanga wa milele akuangazie, upumzike kwa amani
RIP baba uendelee kumpumzika kwa amani. Kiroho bado upo nasisi. Amen
ReplyDeletePeter -UK
Baba sio rahisi kuamini ni miaka 26 haupo nasi - tunamshukuru Mungu kwa kutupigania kila siku - RIP -:Amen
DeleteBaba it doesn't pass a day that we dont remember you... We know that as Christians there is life after death and one day we will meet you... RIP dad
ReplyDelete