
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku huu tayari kwa kutumbuiza kesho kwenye tamasha pa Pasaka.Kuklia kwake ni Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd,Bwana.Alex Msama akitabasamu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...