Mjumbe wa Bodi ya Utendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa kilimo na Maendeleo Vijijini cha nchi za Umoja wa Ulaya, Afrika, Karebiani na Pasifiki (CTA), Profesa Faustin Kamuzora akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo ya wiki moja ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii kwa wadau toka taasisi mbalimbali nchini jana jijini Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yanaendeshwa na CTA na Taasisi ya Nafaka ya Afrika ya Mashariki (EAGI).  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...