LAPF
inawakaribisha wana mtwara kutembelea banda lao ili waweze kupata
huduma mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufahamu juu ya huduma mpya
zinazotolewa na LAPF kama vile mkopo wa kujikimu, Mafao ya Uzazi na
mkopo wa elimu.
Pia wanachama watapata fursa ya kuangalia taarifa za michango yao, kujiunga LAPF na kupata vitambulisho.
Wananchi wakipata maelekezo walipotembelea banda la mfuko wa pensheni wa LAPF walipohudhuria maadhimisho ya wiki ya serikali za mitaa Mtwara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...