MTANGAZA NIA YA UDIWANI GODFREY BENJAMIN KEHOGO.
KERO
ZINAZOKABILI KATA YA MTONI
Ø Huduma hafifu za afya.
Ø Viwanja vingi vya michezo kuingiliwa.
Ø Ukusanyaji wa kodi usioridhisha katika masoko na sehemu husika.
Ø Uchafu ( mitaa na maji taka).
Ø Miundombinu isiyoridhisha ( barabara, mitaa, majengo ya shule zetu)
Ø Ajira.
Ø Ugumu wa upatikanaji mikopo hasa kwa watu wasio na ajira rasmi na
dhamana ( vijana na wanawake).
Ø Kutothamini vipaji haswa za vijana na watoto.
Ø Ushirikishwaji hafifu wa wananchi katika kupanga mipango ya
maendeleo.
Tupe mikakati utakayotumia katika kutatua kero hizi na sio kuziorodhesha tu.
ReplyDeleteyou seems to be an Adventist youth men?
ReplyDelete